Wednesday, February 10, 2016

KUFUNGA

Watu wa Mungu bwana YESU asifiwe watu wengi huwa tunakosea sana kwa sababu hatujui maana halisi ya kufunga leo nataka tutazame japo kwa kifupi. Kwa jinsi Bwana alivyo-niwezesha kupata kuelewa juu ya kufunga.
- Kufunga kuna aina nyingi lakini watu tumekuwa tukikutazama kwa upande mmoja na kukuta wau wengi baada ya kufaidi kufunga watu wamekuwa wakifunga na kujikuta hawapati faida yoyote kutokana na kufunga kwao.

- Kufunga maana yake ni kushughulikia kile kitu kinachokukosesha usiweze kufikia malengo yako uliyojiwekea. Ni kujinyima kitu unachokitana ili wewe kuweza kushiriki na Mungu.

- Kufunga ni kuzuia kitu kinacholosha nafsi yako. Na nafsi zetu huwa zinakula kwa KUONA na KUSIKIA.
WILL CONTINOU...

No comments:

Post a Comment