Thursday, May 30, 2019

Kwa nini Mungu ali-Muumba mwanadamu?


by William Meja

i.                     Ili kuwa na ushiik na Mungu – Johana 4:24,Deut 4:24.
ii.                   Kudhihirisha asili yake – zaburi 82:6(kimwili sisi ni watoto wa wanadamu lakini kiroho sis ni watoto wa Mungu.)- waefeso 3:10-11.

iii.                  Kupanua ufalme wake duniani
iv.                 Kuwe uzao wake – tuwe vifaa vya upendo na utukufu – john 4:8,16.
v.                   Kuwa Baba kutupatia mahitaji binafsi – mathayo 6:31-33.
vi.                 Kuwa Baba na kutupatia mahitaji ya ufalme- yohana 15:15.
vii.                Aweze kuachilia hukumu yake ya haki – 1wakorintho 6:3,15:42-44,52-53,isaya 65:17.

No comments:

Post a Comment