

Waefeso 5.
15 Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima;
16 mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu.
β


βππΌHuna sababu ya kuwa na *marafiki 500 whatsap, 500 facebook, Contact 500 wasiokuwa na msaada wowote kwako*. βππΌKumbuka Mungu yupo na wewe nyakati zote kwenye shida na Raha. βππΌUnachek mpira dk 90, Movie Usiku kucha halafu, Unakosa kufanya maombi hata saa 1. kisa *Uchovu*. CHUKUA HATUA YA KUKOMBOA WAKATI NYAKATI HIZI NI ZAMA ZA UOVU. π½By Es Mejaπ½
No comments:
Post a Comment