JINSI UTAKAVYOOMBA NA KUPOKEA MIUJIZA
UTANGULIZI.
Namshukuru
sana mwenyezi mungu aliyeniongoza katika kuandaa hivi vipengele vya maombi.
Mimi nimevitumia na naendelea kuvitumia na nitavitumia hivi vipengere na
vimenifikisha hapa nilipo. Nimeweza kutambua kwamba kweli mungu ana nafasi yake
katika maisha yetu. Ukipata nafasi tumia hivi vifungo (prayer points) zitaweza
kukusaidia sana katika maisha yako. Nimeguswa na maandiko ya Ezekieli 33:8-9
ndiyo maana nikaandaa hivi vipengele.
UJUMBE
WANGU KWA WATUMIAJI.
AYUBU 22:21, 22:28
AYUBU 22:21, 22:28
WAEFESO 3:20
YOHANA 14:15
v ISAYA 62:6,7.
SALA
Ninakushauri
pia kutumia sala hii ambayo mtume Paulo aliitumia. Pia ninaushuhuda wawatu
waliotumia hii sala na pia wamefanikiwa na sisi tunashauriwa kutumia sala hii.
Waefeso
1:15-20.
HATUA 1: HAKIKISHA UMEOKOKA warumi 1:9
HATUA 2: TUBU
Zaburi 66:18, 1Yohana 1:9, Isaya 43:25
HATUA 3: SOMA
MAANDIKO Isaya 55:10-11,2Timoth 3:16-17
HATUA 4:
MWABUDU MUNGU 2Wakorintho 5:11-14,20:21-22, Matendo 16:25-26
HATUA 5: OMBA
KWA IMANI Waebraia 11:6, Yakobo 1:6-8.
HATUA 6 :AMINI -Amini kwamba mungu amekwisha jibu maombi
yako.
HATUA 7 :AMINI
KWAMBA MUNGU ANAKUPENDA Yohana 3:16, Heb 7:25
HATUA 8 :JIZOEZE
MAOMBI YA MFUNGO Mathayo 17:21
HATUA 9 :SHUHUDIA
MUUJIZA WAKO. Mathayo 21:21-22, Mark 11:24.
HATUA 10 :TII
NENO LA MUNGU .Ishi maisha matakatifu –Jifunze kumtolea mungu pamoja na
kuwasaidia wengine.
HATUA 11: DUMU
KATIKA MAOMBI Zaburi 125.
LAKINI PIA KUNA MAMBO MAKUU MATANO MUHIMU
UNAPOANZA MAISHA MAPYA KATIKA KRISTO
i. Zungumza
na mungu kwa maombi kila siku (Yohana 15:7)
ii.
Soma
neno la mungu kila siku Matendo 17:11.
iii.
Mruhusu
roho mtakatifu akutawale wagalatia 5:16-25, warumi 8:14-17.
iv.
Umtumaini
mungu kwa kila jambo katika maisha yako 1Petro 5:7, Zakaria 4:6.
v. .
Kusanyika
na kushiriki na watu wengine Waebrania 10:25.(ITAENDELEA)
No comments:
Post a Comment