Wednesday, May 14, 2014

HATUA ZA KUFUATA MARA ZOTE UNAPOKUWA KATIKA ENEO LA MAOMBI



HATUA ZA KUFUATA MARA ZOTE UNAPOKUWA KATIKA ENEO LA MAOMBI

HATUA 1:  HAKIKISHA UMEOKOKA warumi 1:9
HATUA 2: TUBU Zaburi 66:18, 1Yohana 1:9, Isaya 43:25
HATUA 3: SOMA MAANDIKO Isaya 55:10-11,2Timoth 3:16-17
HATUA 4: MWABUDU MUNGU 2Wakorintho 5:11-14,20:21-22, Matendo 16:25-26
HATUA 5: OMBA KWA IMANI Waebraia 11:6, Yakobo 1:6-8.
HATUA 6 :AMINI  -Amini kwamba mungu amekwisha jibu maombi yako.
HATUA 7 :AMINI KWAMBA MUNGU ANAKUPENDA Yohana 3:16, Heb 7:25
HATUA 8 :JIZOEZE MAOMBI YA MFUNGO Mathayo 17:21
HATUA 9 :SHUHUDIA MUUJIZA WAKO. Mathayo 21:21-22, Mark 11:24.
HATUA 10 :TII NENO LA MUNGU .Ishi maisha matakatifu –Jifunze kumtolea mungu pamoja na kuwasaidia wengine.
HATUA 11: DUMU KATIKA MAOMBI  Zaburi 125.

Monday, May 12, 2014

SALA

FANS HIZI NDIZO SALA AMBAZO MIMI UPENDA KUZITUMIA KILA SIKU NIMEONA NI VYEMA NA WEWE UPATE KUZITUMIA.
 WAEB 1:15-19.
  SALA YA ASUBUHI
 Nakushukuru, Ewe Baba yangu wambinguni, kwa Jina la Mwana wako mpendwa Yesu Kristo kwa Kuwa umenilinda usiku huu na kunizuilia maumivu na hatari zote. Nakuomba, unilinde hata mchana huu wa leo, nisikose njia yako wala kupatwa na maovu. Unipe kukupemdeza na matendo yangu, mwenendo wangu uwe mzuri. Kwa mwili wangu na moyo na vyote nilivyo navyo naviweka mkononi mwako. Malaika wako mtakatifu awe pamoja nami, shetani asinishinde Amen.
 
SALA YA JIONI.
Bwana Mungu, Baba yetu uliye mbinguni, uliyetulinda vema mchana huu, twakusihi utusamehe kwa yale yote tuliyoyakosa, utungazie nuru ya huruma zako, sisi tulale tukiwa na msamaha wako, tutulie na kustarehe usiku huu, Wewe utulinde, utuamshe wenye nguvu; kwa yesu kristo, Mwana wako na Bwana wetu. Amen

SOMO LA LEO JUMAPILI

FANS WOTE WA BLOG HII SIKU YA LEO JUMAPILI 11/05/2015. ILIKUWA NI SIKU YA PEKEE SANA.
NENO KUU:  MJUE SANA BWANA MUNGU WAKO UWE NA AMANI.
NENO KUU: AYUBU 22:21.

MAHUBIRI: Ni kweli kwamba hakuna maisha bila ya kuwa na bwana Mungu japo watu tunajitia MOYO. Lakini ukweli ndoo hivo. Muhubiri alisema Kumjua Mungu kunapimwa kwa matatizo, je unapopata tatizo unachukuaje hatua, Naomba na wewe ujitadhimini katika Maisha yako.
Mtu anayemjua Mungu akuna kitu cha kuweza kumtenga yeye na bwana Mungu wake. Yeye mambo yote kwake ni Mazuri anafuraha wakati wote awe na pesa asiwe nazo yote sawa anasonga mbele na yesu.

Lakini pia akazungumzia suala la Maisha akasema Mtu anayemjua sana mungu, Kwanza atabarikiwa kama ilivyo andikwa katika kitabu cha Kumbukumbu 28:1-14. Pili  mtu anayemjua Mungu atafuti watu wakumtia moyo, Anajitia Moyo yeye mwenyewe, Anakuwa na bidii, Anakuwa mwenye kufanya mashauri Mengi, isitoshe anasoma neno na kufanya Maombi.
 Hakuishia hapo akazungumzia Kuhusu Suala la Ndoa, Hukimjua Mungu wewe kama ni Mwanaume Utajua Kupenda na kama ni Mwanamke Utajua Jinsi ya Kutii. Na akuta kuwepo na MCHECHETO. so lazima tumwombe sana Mungu atupe Kumjua tusijione tumefika.

Mwisho kabla ya maombezi alizungumzia kuhusu baadhi ya watu waliopata kumjua Mungu wakina Shedrack, Meshack na Ebednego walivyo kataa kula chakula cha Mfalme na wakatupwa kwenye tanuru la Moto lakini hawakukata tamaa. lakini pia akawazungumzia wakina Musa, Ayubu, Daudi,Paulo, Yusuph n.k
(JE WAJUA KIZUIZI CHA MEMA YAKO? YEREMIA 5:25).
WATUMISHI WAKIPIGA MAOMBI KUMPINGA SHETANI ASIPATE NAFASI.

WANAKWAYA WAKIWA STAGE WANATUMBUIZA WAKATI WA IBADA JUMAPILI YA LEO TAREHE 11/05/2014.

Saturday, May 10, 2014

LET US SHARE THIS TODAY





WOKOVU UJUE  WOKOVU KWA KUSOMA MAHANDIKO LEO NAKUPA VIPENGELE VICHACHE TU VIKUSAIDIE


  • Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. - Yohana 3:16
  • kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu; Warumi 3:23
  • Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu. - Warumi 6:23
  • Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. - Yohana 14:6
  • Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake; - Yohana 1:12

Thursday, May 8, 2014

MAMBO YA MUNGU

 DTS 2012. Tukiwa baobao Bagamogo kweli Mungu alishusha wingu siku hiyo. Hilikuwa raha sana
kuna faida katika kufanya kazi ya Bwana.
Mission Huko Michese huko Dodoma Watumishi wa mungu wakiwa katika huwepo Baada ya kupambana na Mapepo na shetani kwa wiki nzima. Missioni hii ilikuwa ya kipekee sana, maana wiki, Nzima mungu alizuia Mvua na Mvua ilinyesha siku ya mwisho tu ya mkutano.
Kweli kazi ya Mungu Haina makosa. watu wengi waliokoka siku hiyo. Kitu kingine cha kujifunza, Ni kwamba wanafunzi wengi hata wale waliokuwa wanasita sita waliweza kubadilika na kumjua mungu wao jinsi anavyotenda mambo makuu.
DTS ya mwaka Jana  watumishi wa Mungu wakiwa wanamtumikia Mungu kwa Njia ya Uimbaji wakiwa wanaaga aga Dakika zao za Mwisho. Chezea watumishi wewe Kanisa la Mlalakuwa hilo. Mlalakuwa mpooo.
Hiyo ndo first year ya 2013/2014. Ikiongozwa na mama Mchungaji wakiwa huko kwenye mkutano
wa pasaka yaani DTS ya 2013.
Hawa ni viongozi wa maombi wa mkoa wakiwa katika POWER ROOM wakiachilia upako. Hawa ni watu wa ukweli . Walisimama kidete katika nafasi zao mungu awabariki wasichoke.
Watumishi wa Mungu wakiserebuka, kwenye missioni iliyofanyika Nanyamba Mtwara, Kweli Mungu  alijifunua kwa namna ya Tofauti.  Misaada mingi ilitolewa ya kijamii na maombi na watu wengi walipona.
Wanafamilia wa TAFES baada ya DTS wakijiandaa kurudi chuoni. Kweli Mungu alionekana katika
namna ya Ajabu.



6 COMPUTER SECURITY TIPS

1) Use a firewall

A firewall is a software system that will handle outgoing and incoming Internet connections of your computer. You’ll be able to clearly use the one engineered into Windows by default, however this can be by no means the foremost Efficient. i will like to recommend Comodo Firewall which is free and straightforward to use. Using Firewall is just one of Computer Security tip that i want to mention

2) Use antivirus

There are obvious reasons to use Anti virus Programs, but there are People that don’t have any antivirus or those who have, they have not upgraded thier antivirus since their permit has lapsed.. However there are quite powerful free antivirus Available. One must Install Antivirus to Protect and Keep thier Computer Secure

3) Updating software system:

New vulnerabilities are found in software system or operative systems like Windows each day. So one must always updates thier software system. Keeping your installed Softwares upto date is Important, as it will Keep hackers away from breaking into your System and its Said that any upto date program Works smooth without any glitch.

4) Use complicated passwords

Users like you and me use too weak  passwords that are very simple to detect for hackers, there are so many software which will try all Possible Combinations to Crack your Password, this is known as Bruteforce technique .  If your secret word(password) Consists of just 4 or 5 characters, it will easily discover it.
Your Password becomes harder to crack if it consists of 8 or 9 characters which also includes numbers, letters and special characters.To check the strength of your Password, there are plenty tools over internet. This is an important Computer Security tip that everyone must Consider.

5) Use totally different passwords

Most common mistake people make is that they use same password everywhere over internet. Yes, its very hard to remember passwords for all accounts but its highly advisible to have different passwords for different accounts.
This Practice Comes handy if one of your account gets Compromised/Hacked, then your other accounts are still safe.

6) Always Beware:

  • Finally, Abstain from getting hacked,  Always beware while Browsing Internet, don’t transfer and install everything and anything on your PC or Laptop.
  • Always check the sources of software system and websites that you just use to download programs.
  • Don’t be silly and amateur hackers won’t be able to do  anything to you (while serious and skilled hackers will not have any interest to hack you)