Thursday, May 8, 2014

MAMBO YA MUNGU

 DTS 2012. Tukiwa baobao Bagamogo kweli Mungu alishusha wingu siku hiyo. Hilikuwa raha sana
kuna faida katika kufanya kazi ya Bwana.
Mission Huko Michese huko Dodoma Watumishi wa mungu wakiwa katika huwepo Baada ya kupambana na Mapepo na shetani kwa wiki nzima. Missioni hii ilikuwa ya kipekee sana, maana wiki, Nzima mungu alizuia Mvua na Mvua ilinyesha siku ya mwisho tu ya mkutano.
Kweli kazi ya Mungu Haina makosa. watu wengi waliokoka siku hiyo. Kitu kingine cha kujifunza, Ni kwamba wanafunzi wengi hata wale waliokuwa wanasita sita waliweza kubadilika na kumjua mungu wao jinsi anavyotenda mambo makuu.
DTS ya mwaka Jana  watumishi wa Mungu wakiwa wanamtumikia Mungu kwa Njia ya Uimbaji wakiwa wanaaga aga Dakika zao za Mwisho. Chezea watumishi wewe Kanisa la Mlalakuwa hilo. Mlalakuwa mpooo.
Hiyo ndo first year ya 2013/2014. Ikiongozwa na mama Mchungaji wakiwa huko kwenye mkutano
wa pasaka yaani DTS ya 2013.
Hawa ni viongozi wa maombi wa mkoa wakiwa katika POWER ROOM wakiachilia upako. Hawa ni watu wa ukweli . Walisimama kidete katika nafasi zao mungu awabariki wasichoke.
Watumishi wa Mungu wakiserebuka, kwenye missioni iliyofanyika Nanyamba Mtwara, Kweli Mungu  alijifunua kwa namna ya Tofauti.  Misaada mingi ilitolewa ya kijamii na maombi na watu wengi walipona.
Wanafamilia wa TAFES baada ya DTS wakijiandaa kurudi chuoni. Kweli Mungu alionekana katika
namna ya Ajabu.



No comments:

Post a Comment